NYAISONGA AKIPEANA MKONO WA BARAKA NA WAUMINI WA PAROKIA YA
INYONGA......................UTAKUMBUKWA DAIMA
MWENYEZI MUNGU AKUTANGULIE DAIMA KATIKA UTUME WAKO, KARIBU TENA PAROKIA YA INYONGA
MTU WA WATU, GERVAS NYAISONGA, TUNAKUOMBEA DAIMA |
KATIKA MISA TAKATIFU KIGANGO CHA UZEGA, MUNGU AWAONGOZE |
KIPENZI CHA WATOTO "WAACHENI WAJE KWANGU MAANA UFALME NI WAO |
AKIKABIDHI RISALA YA KAMATI YA MAENDELEO KWA BABA ASKOFU NA MKUU WA WILAYA |
KAMATI YA MAENDELEO YA PAROKIA NA MH MKUU WA WILAYA KATIKA MLO WA JIONI |
WAUMINI WA KIGANGO CHA ILINDE WAMPOKEA KWA SHANGE |
MWENYEZI MUNGU AKUTANGULIE DAIMA KATIKA UTUME WAKO, KARIBU TENA PAROKIA YA INYONGA
No comments:
Post a Comment