Thursday, August 15, 2019

MIAKA 75 YA UKRISTO INYONGA



MIAKA 75 YA UKRISTO INYONGA

Kanisa katoliki Parokia ya Inyonga Jimbo Katoliki Mpanda linatarajia kuadhimisha sherehe za Jubilie ya Miaka 75 tangu kuingia kwa ukristo.

Waumini wanamshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai , ukirtso " kwetu sisi ni Jambo la Historia, kushuhudia miaka 75. katika masuala ya Imani ni hatua kubwa sana na kila mmoja anapaswa kumshukuru Mungu kwa namna ya pekee, Mungu ametupigania kwa hali na mali hata sasa tu wazima, wapo wazee wetu ambao tangu miaka hiyo walikuwepo na wameishi maisha ya Kikristo hata sasa" amesema George Lupia.



No comments:

Post a Comment