Friday, January 25, 2019

BLOG YA JIMBO

JIMBO KATOLIKI MPANDA LAFUNGUA BLOG

Askofu wa Jimbo Katoliki Mpanda, Askofu Gervas Nyaisonga ameanzisha blog ya Jimbo Katoliki Mpanda ili kuitumia kwa ajili ya kuinjilisha na kuwahabarisha waamini habari njema ya wokovu.

Askofu Gervas Nyaisonga

                                                           Askofu wa Jimbo la Mpanda

6 comments:

  1. Hongereni sana, bila shaka tutakuwa tunapata taarifa kwa wakati kuhusu mambo yanayohusu jimbo letu

    ReplyDelete
  2. Hongereni sana Mungu atuinue zaidi na thamani yetu ikazidi kukua hadi tushangae (hongera jimbo la Mpanda-Katavi

    ReplyDelete