ASKOFU MKUU MTEULE JIMBO KUU TEULE LA MBEYA KABLA YA KUSIMIKWA
KWAKE...................Habari Picha na matukio
|
PAROKIANI MLOWO KATIKA MAPOKEZI YA AWALI..... SAFARI YA KUSIMIKWA KWAKE KUWA ASKOFU MKUU WA JIMBO KUU LA MBEYA |
|
APOKELEWA NA MABABA KUTOKA MAJIMBO TOFAUTI : SALAMU NA MAZUNGUMZO YA HAPA NA PALE YAKIENDELEA |
|
MH RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA KUSIMIKWA KWAKE KATIKA UWANJA WA SOKOINE MBEYA.... AGEUKA HALMASHAURI YA WALEI NA KUANZA KUTEMBEZA CHOMBO CHA SADAKA...... |
|
MSHAURI WA SCOUT TAIFA MHASHAMU BABA ASKOFU GERVAS NYAISONGA APOKELEWA NA KULINDWA NA SCOUT MUDA WOTE WA MAPOKEZI JIJINI MBEYA |
No comments:
Post a Comment