Thursday, May 9, 2019

safari ya kusimikwa kwa Askofu Mkuu Jimbo kuu la Mbeya



ASKOFU MKUU MTEULE JIMBO KUU TEULE LA MBEYA KABLA YA KUSIMIKWA

KWAKE...................Habari Picha  na matukio 


PAROKIANI MLOWO KATIKA MAPOKEZI YA AWALI..... SAFARI YA KUSIMIKWA KWAKE KUWA ASKOFU MKUU WA JIMBO KUU LA MBEYA


APOKELEWA NA MABABA KUTOKA MAJIMBO TOFAUTI : SALAMU NA MAZUNGUMZO YA HAPA NA PALE YAKIENDELEA


MH RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA KUSIMIKWA KWAKE KATIKA UWANJA WA SOKOINE MBEYA.... AGEUKA HALMASHAURI YA WALEI NA KUANZA KUTEMBEZA CHOMBO CHA SADAKA......




MSHAURI WA SCOUT TAIFA MHASHAMU BABA ASKOFU GERVAS NYAISONGA APOKELEWA NA KULINDWA NA SCOUT MUDA WOTE WA  MAPOKEZI JIJINI MBEYA